Leo ni Siku ya Mashoto Duniani
LEO Agosti 13, ni siku ya Mashoto Duniani (International Lefthanders Day). Siku hii imekuwa ikisherehekewa kila mwaka toka Agosti 13, 1976 pale chama cha Mashoto (Lefthanders International)...
View ArticleUmeme wa kulenga kwa manati
“UMEME na maji Tanzania ishakuwa kero…watu kero kero!”Nimejaribu kupitia maktaba yangu kuitafuta hiyo albamu ya Wagosi wa Kaya, kundi la muziki wa Bongo Fleva liliondokea kutamba sana mwanzoni mwa...
View ArticleNimerejea
ASALAAM aleykum wadau.Ni kitambo kweli sijaonekana jamvini humu. Niliwamiss ile mbaya. Najua nimepitwa na mambo chungumbovu. Ilikuwa nje ya uwezo wangu. Lakini kwa uweza wake yeye aliye juu,...
View ArticleKuanguka kwa Ghaddaf kunatoa fundisho gani kwa viongozi Afrika?
NILIPOANDIKA makala kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka jana, kaka yangu na mwanazuoni ninayemheshimu Profesa Matondo Nzunzullima alitoa maoni akisema, “historia haidanganyi”. Katika makala hayo...
View ArticleAirpoint
Hapa ni Airpoint, mahali ambapo barabara ipo juu kuliko barabara zote nchini. Eneo hili lipo barabara ya Chunya nje ya jiji la Mbeya.Hapa upo juu kabisa Airpoint. Unalitazama Bonde la Ufa la Afrika...
View ArticleKasumulu border
Kuelekea mpaka wa Tanzania na Malawi.you must be the changes you wish to see in the world.
View ArticleMalaria inakubalika
WAKATI rais wetu alifunga safari hadi Marekani mara nyingi tu kuomba msaada wa vyandarua ili kuhakikisha malaria haikubaliki tena, hali ni tofauti katika kijiji cha Liulilo, pembezoni mwa Ziwa Nyasa...
View ArticleZawadi ya dagaa kwa Yasinta na Markus
Hao dagaa wa Ziwa Nyasa ni zawadi kwa watani zangu Yasinta Ngonyani na Markus Mpangala ambao ni wapenzi wakubwa wa ugali kwa dagaa. Ila nitajitahidi kuwatafutia walau lita mbili tatu za ulanzi kutoka...
View ArticlePorojo la leo: Wenyewe si mnataka kusaidiwa
TARATIBU Mwananchi mimi nairekebisha tai yangu. Kisha nikaingia zangu mgahawani. Jua linawaka vibaya mno utafikiri limeunganishwa gridi ya taifa. Haaa! Nilishasau humu Jamhuri ya Giza hakuna tena...
View ArticleKwa mtindo huu ajali za barabarani hazitokoma
NIMEJIULIZA maswali mengi sana kichwani pasipo kupata majibu. Siku chache zilizopita nilikuwa katika safari kutoka Mbeya mjini kuelekea Kyela, wilaya inayopakana na nchi ya Malawi. Katika safari hiyo...
View ArticleCCM na hadithi ya mwanaume aliyeyasahau majukumu yake
ILIPATA kutokea pahala fulani mumu humu ulimwenguni. Paliondokea mwanamume mmoja awaye rijali. Mwanaume huyo alisifika sana kijijini kwake kutokana na uchapakazi wake. Mwanaume huyo alijenga nyumba...
View ArticleRiwaya ya Kizungumkuti kutoka kwa Fadhy Mtanga
Wadau,Asalaam aleykum!Nimekuwa kimya kwa kipindi kirefu katika ulimwengu wa kublog. Chambilecho wahenga, kimya kingi kina mshindo mkuu. Sikuwa kimya kwa kuwa labda nimechoka kublog. La hasha....
View ArticlePole kwa Watanzania wote
NI SIKU mbili sasa, taifa linazizima kwa habari za kushitua mioyo kuhusiana na mafuriko makubwa katika jiji la Dar es Salaam. Hali ni mbaya zaidi. Mvua inanyesha kwa kiwango kikubwa mno ambacho...
View ArticleHeri ya siku ya kuzaliwa mama yangu
Heri ya siku ya kuzaliwa mama yangu mpenzi. Leo tarehe 18 Januari ni siku muhimu sana kwangu. Ni siku ambayo mama yangu mpenzi ulikuja duniani. Ni siku iliyoandaa uwepo wangu duniani. Mama, leo...
View ArticlePorojo la leo: Upepo hupita tu
“MV MAPENZI…meli ya wapendanao…moyo kama bahari manahodha mimi na wewe….kuchafuka kwa bahari siyo mwisho wa safari…meli ilipokumbwa na dhoruba nahodha akajitosa baharini….wale papa na nyangumi wenye...
View ArticleNajiuliza kuhusu huyu mfanyakazi
Mfanyakazi anayelipwa 150,000/=...kapanga chumba kimoja tu ambacho kodi ni 30,000/ kwa mwezi (bado atalazimishwa alipe kodi ya miezi 6 ama mwaka 1 wakati analipwa mshahara kwa mwezi). Anaishi Yombo...
View ArticleBarua kwako mpenzi wangu
Mpenzi wangu,Nikupendaye kwa dhati kutoka moyoni mwangu,Nakusalimia salamu ya huba iliyoambatana na busu motomoto.Mpenzi wangu nianze kwa kukushukuru sana kwa barua yako iliyojaa huba ambayo nimeipokea...
View ArticleTunapowahubiria injili wenye njaa
Chifu Thomas Marealle (Juni 12, 1915 – Februari 14, 2007) Mangi Mkuu wa huko Uchaggani wakati fulani mwaka 1957 alipata kusema, "Huwezi kuhubiri injili kwa watu wenye njaa". Kwa hizi siku mbili...
View ArticleNani kasema wanaume hawana kumbukumbu na matukio?
Soma hii...... Mwanamke kashituka kutoka usingizini usiku wa manane na kugungua mumewe hayupo kitandani. Mwanamke akachanganyikiwa na kuamua kushuka hadi chini. Akamkuta mumewe ameketi juu ya jikoni,...
View ArticlePorojo la leo: Muungano huu si halali
“NDUGU yangu tizama unakokwenda…..vile vile ukumbuke ulikotoka….hii dunia…dunia uwanja wa fujo…mwenye ngoma zake acheze zipasuke….ndugu yangu tizama unakokwenda….vile vile ukumbuke ulikotokaaaaa…….”...
View Article