Haki ya wafanyakazi kugoma kwa mujibu wa sheria
MGOMO wa wafanyakazi ni ile hali ya wafanyakazi kusitisha ufanyaji kazi kwa muda fulani ili kumlazimisha mwajiri wao akubaliane na madai yao. Ni njia ambayo wafanyakazi huitumia katika kumshinikiza...
View ArticleSiku Koero Mkundi alipochangamsha jamvi
Ilikuwa Septemba 7, 2010 miaka miwili nyuma. Bofya hapa.KOERO UTAOLEWA NA NANI? BADO NI KITENDAWILI, LAKINI LABDA MARKUS AU MTANGA…………….LOLNajua wengi watashangaa maana wanajua mie sioleki, lakini...
View ArticleMwalimu Nyerere aliona mbali
14 OKTOBA 1999, Tanzania, Afrika na dunia nzima ilipatwa mshituko baada ya kutangaziwa kuwa mwanamapinduzi na mpigania haki na usawa duniani, baba wa taifa la Tanzania, mwanaAfrika mzalendo wa kweli,...
View ArticleHawa watu!
KATIKA kupitia pitia historia barani Afrika nimekutana na mambo kadha wa kadha ambayo yameniacha kinywa wazi mara chungu mbovu. Haya ni baadhi.Mohandas Karamchand Gandhi (Mahatma Gandhi) wakati huo...
View ArticlePorojo za leo: Mei Mosi!
MWANANCHI mimi naamshwa kutoka usingizini kwa mlio mkali wa simu yangu ya Kichina. Simu inalia kweli utadhani imefungwa sub-woofer. Nakwambia ukubwa wa muziki wake usiombe mtu akupigie simu ukiwa...
View ArticleSisi tu wamoja
ASUBUHI ya leo ninapokutana na habari za kanisakulipuliwa najikuta nikitafakari miaka kadhaanyuma. Ninatafakari huku nikisononeshwa najamii yetu inakoelekea, hususani mipasuko yakidini.Ninajaribu...
View ArticlePorojo za leo: Magumashi magumashi tu sebuleni hadi jikoni!
“NATAKA kulewaaaaa…..lewaaa….nataka kulewaaaa…..lewaaa….nikizidisha nimwage radhi..!” Unaweza ukadhani mwananchi mie nimepatwa na wazimu. Huchelewi kuwapigia simu nduguzo na kuwaambia, “Mwananchi...
View ArticleMajina ya kusisimua ambayo watu wamewahi kupewa duniani
Ushawahi kusikia majina yenye kusisimua? Bila shaka umekutana nayo mengi katika jamii yako. Kwa mfano, katika jamii ya Kitanzania tumekwishakutana na majina kama Kibakuli, Siogopi, Sinataabu ama hata...
View ArticleViongozi wa Kenya wanapowasaliti wananchi wao
JUMANNE wiki hii, macho ya Wakenya yalielekezwa mjini The Hague, Uholanzi yalipo makao ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya jinai (ICC). Kizimbani anasimama makamu wa rais wa Kenya William Ruto,...
View ArticleKwa nini nchi za Afrika zinaihara ICC?
MASHIRIKA ya habari yana ripoti juu ya kile kinachoendelea jijini Adis Ababa, Ethiopia kunakofanyika mkutano wa Umoja wa Afrika (AU). Wakati mkutano huo ukiendelea, Kenya na Sudan zinasemekana kuwa...
View ArticleRiwaya ya Huba
HABARI za siku tele?Ni muda mrefu umepita sijaandika humu. Ukimya wangu haukuwa bure. Nilikuwa jikoni nikiandaa pishi.Sasa pishi limeiva. Ni riwaya ya HUBA. Kama lilivyo jina la kitabu, ni simulizi...
View ArticleNimerejea rasmi kublog
Ni muda mrefu sana umepita tangu nilipoweka bandiko kwa mara ya mwisho hapa kibarazani kwangu. Marafiki zangu wamekuwa wakiniuliza mara kwa mara juu ya kupotea kwangu katika kublog.Sikuwa na sababu ya...
View ArticleKakao kutoka Matema
Tunda la kakao, kijijini Kisyosyo, kata ya Matema, wilayani Kyela, mkoani Mbeya,Ni utajiri unaowazunguka wananchi. Lakini, ni wazi hauwanufaishi kwa kiwango cha kuridhisha.you must be the changes you...
View ArticleMapambazuko ziwani Nyasa
Asubuhi ya leo hapa ufukwe wa Matema, Kyela mkoani Mbeya.. Nikiitazama nuru ya jua ikichomoza kwa mbali, mashariki, nyuma ya milima ya Livingstone.you must be the changes you wish to see in the world.
View ArticleBarabara ya Matema
Barabara iendayo ufukwe wa Matema. Niliipiga picha hii jana mchana.Kwa miaka mingi, barabara hii haikupewa kipaumbele ili ijengwe katika kiwango cha lami. Angalau sasa, ujenzi wa barabara hii katika...
View ArticleGari majini
Wanasema, tembea uone.Nami nimeona.you must be the changes you wish to see in the world.
View ArticleMaisha ziwani
Maandalizi kwa ajili ya uvuvi usiku wa leo. Mchana huu hapa ufukweni Matema, Ziwa Nyasa.you must be the changes you wish to see in the world.
View ArticleMambo Niliyojifunza Mwaka 2015
Wakati mwaka ndiyo umefika ukingoni, ninaketi chini. Ninatafakari. Ninajikuta ninazikumbuka vema siku 365 za mwaka 2015. Kila siku moja, ilikuwa ni ukurasa moja katika kitabu cha 2015. Kila...
View ArticleSafu za Milima ya Livingstone
Kama ionekanavyo kutoka mjini Kyela. Katika siku ya Mwaka Mpya wa 2016.you must be the changes you wish to see in the world.
View ArticleMatunda hayakauki Mbeya
Kila msimu na matunda yake. Kijijini Isyonje, wilaya ya Rungwe, Mbeya. Leo alasiri.you must be the changes you wish to see in the world.
View Article