$ 0 0 ASALAAM aleykum wadau.Ni kitambo kweli sijaonekana jamvini humu. Niliwamiss ile mbaya. Najua nimepitwa na mambo chungumbovu. Ilikuwa nje ya uwezo wangu. Lakini kwa uweza wake yeye aliye juu, naamini sasa nimerejea.Pamoja sana!