Mlima Rungwe
Kama unavyoonekana kutoka kijijini Kyimo wilayani Rungwe. Kilele chake ni cha 12 kwa urefu nchini Tanzania. Kina meta 2812.you must be the changes you wish to see in the world.
View ArticlePilika za maisha
Ndani ya stendi, Vwawa wilayani Mbozi. you must be the changes you wish to see in the world.
View ArticleBarua kwako mpenzi wangu
Mpenzi wangu,Nikupendaye kwa dhati kutoka moyoni mwangu,Nakusalimia salamu ya huba iliyoambatana na busu motomoto.Mpenzi wangu nianze kwa kukushukuru sana kwa barua yako iliyojaa huba ambayo nimeipokea...
View ArticleTai Kwenye Mzoga
NIMEMALIZANA na Kevin Mponda kwenye kazi yake ya kiwango cha juu kabisa, Tai Kwenye Mzoga, ama kwa Kifaransa, L'aigle sur un cadavre.Mara nyingi nimewasikia watu wengi, katika mazungumzo ya ana kwa...
View ArticleKitabu Cha 100
KITABU cha 100, kwa mwaka huu!Kuanzia jana, namsoma ka'mkubwa Hussein Tuwa kwenye kitabu chake kisichowekeka chini, Wimbo Wa Gaidi.Usomaji wa vitabu nyakati za wikendi una changamoto zake. Kuna mpira...
View ArticleKitendo kidogo hubadili maisha
JIONI hii, nikiwa na wenzangu, tunasimama eneo la Hagafilo, Kusini Mashariki na nje kidogo ya mji wa Njombe. Tumetoka field, ambako tumekuwepo huko kutwa nzima. Njaa zinauma sana. Tunaamua kusimama...
View ArticleBiashara inayojiendesha
WAKATI wafanyabiashara wengi huandamwa na hofu juu ya wevi kwenye pesa zao, hali ni tofauti kwa Mzee Mtalikidonga. Takribani kilometa 78, mashariki ya mji wa Njombe, zinapoanzia safu za milima ya...
View ArticleMwaka wa kusoma vitabu
AMA HAKIKA, mwaka 2017 kwangu umekuwa mwaka wa kusoma vitabu. Kuliko wakati mwingine wowote katika maisha yangu, na pengine inaweza isitokee tena, kumudu kusoma vitabu vingi/machapisho mengi/miswada...
View ArticleNimewezaje kusoma vitabu vingi kwa mwaka?
BAADA ya jana kuweka orodha yangu ya vitabu nilivyovisoma mwaka 2017, nimeulizwa na rafiki zangu, inawezekanaje?Vitabu 107? Si kweli hata kidogo!Mwishoni mwa mwaka 2016, nilikuwa katika pitapita yangu...
View ArticleKitabu changu cha mwisho kwa mwaka 2017
LEO nimesoma kitabu changu cha mwisho kwa mwaka 2017. Kitabu cha 108.Nimejisoma mwenyewe. Kitabu cha HUBA. Ni kurasa 164 za simulizi ya mapenzi. Kuna Zedi. Kuna Rose. Kuna July.Nimefurahi sana kukisoma...
View ArticleShukrani za dhati kwenu
SHUKRANI ZA DHATI KWENUIMETIMU saa 3.50 usiku hapa Mbeya. Saa mbili na dakika kumi baadaye, tutakuwa katika mwaka wa 2018 BK.Wiki hii, nimebahatika kubadilishana mawazo na marafiki wengi juu ya vitabu...
View ArticleKitabu cha Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini
HERI ya Mwaka Mpya kwenu nyote.Leo nimebahatika kumsoma Mwandishi Nguli kupata kutokea katika lugha ya Kiswahili, Hayati Sheikh Shaaban Robert. Nimemsoma kupitia kitabu chake cha Maisha Yangu na Baada...
View ArticleFaida za kusoma vitabu
TAREHE kama ya leo mwaka jana, niliweka bandiko kwenye ukuta wangu wa Facebook, nikielezea faida za kusoma vitabu. Kwa kuwa, tumo tu mwanzoni mwaka wa 2018, nimeona si vibaya nikiikumbusha jamii juu ya...
View ArticleLeo nimemsoma Willy Gamba
LEO nimekuwa na wakati mzuri sana katika usomaji wa vitabu. Nimevisoma vitabu viwili vya Nguli katika riwaya za kijasusi, Aristablus Elvis Musiba. Nilianza na Kufa na Kupona. Hofu ikafuatia.Kufa na...
View ArticleKitabu cha Muhammad Ali: A Tribute To The Greatest
LEO nimefanikiwa kuufunga mwezi Januari kwa kumaliza kusoma kitabu changu cha 8 kwa mwaka huu. Ingawa, nilidhani ningesoma vitabu vichache, ninamshukuru Mungu, nimesoma zaidi ya malengo.Kitabu changu...
View ArticleNimepata vitabu hapa Iringa
JUMAMOSI hii, Iringa ni tulivu sana. Jua likiipunguza baridi ya hapa. Hali ya hewa ni ya kupendeza sana. Mandhari ya mji huu mkongwe haihitaji maelezo. Ni ya kuvutia, siku zote.Nimepita mjini si...
View ArticleUmeshasoma vitabu vingapi mwaka huu?
TAYARI ni tarehe 4 Februari 2018. Naandika nikiwa nimeketi kwenye mgahawa mdogo hapa Iringa. Hali ya hewa ingali ya kusisimua. Baridi kwa mbali. Mji huu hunivutia sana. Hunipa kumbukumbu za 2001 -...
View ArticleNimekaribishwa Nepal kwa vitabu
NIMEPITA duka la vitabu usiku huu hapa Kathmandu, Nepal. Nimekutana na kitabu cha Siddhartha kilichoandikwa na Hermann Hesse. Hesse ni miongoni mwa waandishi, washairi na wachoraji maarufu katika karne...
View ArticleKujali kuhusu binadamu
KUNA vitu vingi nimejifunza kwenye miji mingi na vijiji vingi nilikotia miguu yangu hapa Nepal. Lakini leo tembo wamenifundisha somo kubwa sana. KUJALI KUHUSU BINADAMU. Tukiwa njiani, kuna mwenzetu...
View ArticleMpiga filimbi wa Hamelini
LEO nimepita dukani hapa Chitwan, Nepal na kukutana na hiki kitabu. Kimenipa furaha sana. Nimelazimika kukinunua. Si kwa ajili yangu. Ni kitabu cha watoto. Lakini, nimekinunua kwa ajili ya mama yangu...
View Article