AMA HAKIKA, mwaka 2017 kwangu umekuwa mwaka wa kusoma vitabu. Kuliko wakati mwingine wowote katika maisha yangu, na pengine inaweza isitokee tena, kumudu kusoma vitabu vingi/machapisho mengi/miswada mingi ndani ya mwaka.
Mwishoni mwa mwaka uliopita, nilikuwa na vitabu vitano hivi nilivyovisoma. Lakini, nilijiuliza, kwa mwaka ninaweza kusoma vitabu vingapi pasipo kuathiri ratiba zangu zingine?
Nikaamua 2017 uwe mwaka wa majaribio. Nimemudu kusoma vitabu mara 107. Kwa jumla, vitabu 105 (Kuna viwili nimevisoma mara mbili kila kimoja - kama mswada na kama kitabu).
Nimejifunza kuwa, ningetaka, ningeweza kusoma zaidi ya hapo.
Mwakani, panapo majaliwa, nitasoma vitabu vichache sana. Ningependa, kuutumia muda mwingi kuandika. Mwalimu wangu Richard Mabala, amesema, mwaka 2018 uwe mwaka wa uandishi.
Na hii, ndiyo orodha yangu ya 2017:
1. Zaidi ya Ukimya - Anna M. Cappelli
2. Spared - S. Nduguru
3. Nagona - Euphrase Kezilahabi
4. Usiku Utakapokwisha - Mbunda Msokile
5. Mzingile - Euphrase Kezilahabi
6. The Power Trip - Jackie Collins
7. Siddhartha - Hermann Hesse
8. The Pied Piper of Hammelin -
9. One Indian Girl - Chetan Bhagat
10. The Greatness Guide - Robin Sharma
11. Half Girlfriend - Chetan Bhagat
12. The Firm - John Grisham
13. The Arusha Declaration - Tanzania's New Revolution
14. Land Acquisition for Agribusiness in Tanzania - Lawyers Environmental Action Team
15. Mashitaka ya Jinai na Utetezi - Prof Abdallah J. Saffari
16. Fungate - Fadhy Mtanga (unpublished)
17. Kizungumkuti - Fadhy Mtanga
18. The Dialogue Of An Author: Kezilahabi's
Kaputula La Marx - Chris Bulcaen
19. Niimbeje Wimbo Wa Sifa Katika Machozi? - Zelda Kweyamba
20. Kitanda Cha Kuwadi - Maundu Mwingizi
21. Kikomo - A. E. Musiba
22. My Autobiography - Alex Ferguson
22. Njama - A. E. Musiba
23. Who Moved My Cheese - Spencer Johnson
24. Hekaheka - Japhet Nyang'oro
25. Fungate - Fadhy Mtanga
26. How To Overcome Failure And Achieve Success - Napoleon Hill
27. Project Management Manual - Harvard Business School
28. Diwani ya Jinamizi - Ali Salim Zakwany
29. Rosa Mistika - Euphrase Kezilahabi
30. The Role of Development Projects in Strengthening Community-based Adaptation Strategies: The Case of Uluguru Mountains Agricultural Development Project - Kassim Mussa, Ibrahim Mjemah & Emmanuel Malisa (Full Length Research Paper)
31. Dira ya Moyo - Laura Pettie (unpublished)
32. Mateka Mpakani - Frowin Kageuka
33. Uchambuzi wa Sowing The Mustard Seed cha Yoweri Museveni - Nanyaro E. J.
34. Be Employed With Plan B - Elizabeth Samoja
35. Say It Like Obama - Shel Leanne
36. The Foundations Of Personality - Abraham Myserson
37. Barack Obama, A Biography - Joann F. Price
38. Change Your Thinking, Change Your Life - Brian Tracy
39. Managing Yourself - Paul Morgan
40.The Poems Of Tupac Umar Shakur: Collected by Fadhy Mtanga (unpublished)
41. Poetic Thoughts - Fadhy Mtanga (unpublished)
42. Private Affairs - Judith Michael
43. Shushushu - Evarist Chahali
44. The Burden Of Proof: How To Defend Yourself In Criminal Cases - A. A. F. Massawe
45. Dhihaka - Beka Mfaume
46. Psychology Of Intelligence Analysis - Richards Heuer
47. Sidney Sheldon's Chasing Tomorrow - Tilly Bagshawe
48. Kikosi Cha Kisasi - A. E. Musiba
49. Lazima Ufe Joram - Ben R. Mtobwa
50. This Is For Real - James Hadley Chase
51. Mikononi Mwa Nunda - Ben R. Mtobwa
52. Msako wa Hayawani - Eddie Ganzel
53. Alchemist - Paulo Coelho
54. Hofu - A. E. Musiba
55. The Client - John Grisham
56. Karata ya Baradhuli - Innocent Ndayanse
57. You Can Say That Again - James Hadley Chase
58. Steve Jobs And The Story Of Apple - Fiona Beddall
59. Gunning For Greatness, My Life - Mesut Özil
60. Aya Za Shetani - Beka Mfaume
61. The Decision-Making Pocketbook - Neil Russell-Jones
62. Maisha ya Pele - Collected by Shy'wick Willies
63. Titoism and Soviet Communism: An Analysis and Comparison of Theory and Practice - CIA
64. Untangling The Web, A Guide To Internet Research - National Security Agency
65. Uchu - A. E. Musiba
66. Men Are From Mars, Women Are From Venus - John Gray
67. Beloved - Toni Morrison
68. 2 States - Chetan Bhagat
69. Haini - Shafi Adam Shafi
70. Veil: The Secret Wars of CIA 1981 - 1987 - Bob Woodward
71. Joka la Mdimu - Abdallah J. Safari
72. Our Kind Of Traitor - John le Carré
73. Silent Predator - Tony Park
74. 11 Minute - Paulo Coelho
75. The Power Of Positive Thinking - Norman Vincent Peale
76. No Excuses: The Power Of Self-Discipline - Brian Tracy
77. Kuli - Shafi Adam Shafi
78. CCM Na Mustakabali Wa Nchi Yetu - Makwaia Wa Kuhenga
79. Ndugu Kwame Nkrumah - M. W. K. Chiume
80. Summons: Poems From Tanzania - Richard S. Mabala et al
81. Create Your Own Future: How To Master The 12 Critical Factors For Unlimited Success - Brian Tracy
82. Lean In: Women, Work, And Will To Lead - Sherly Sandberg
83. Macbeth - William Shakespeare
84. The African Queen - C. S. Forester
85. Kasri Ya Mwinyi Fuad - Shafi Adam Shafi
86. Mfadhili - Hussein Tuwa
87. As Far As My Feet Will Carry Me - J. M. Bauer
88. Patashika - Japhet Nyang'oro Sudi
89. For The President's Eyes Only - Roy Christie
90. Marley Legend: An Illustrated Life Of Bob Marley - James Henke
91. When The Music Stops - Lee A. Howard
92. How To Get Ideas - Jack Foster
93. Robben Island: Hell Hole - Moses Dlamini
94. Big Picture - Ben Carson
95. Writers In Politics - Ngugi wa Thiong'o
96. Mwiba - Beka Mfaume
97. Bondia - Hussein Issa Tuwa
98. Siku Ya Utakaso - Beka Mfaume
99. Tai Kwenye Mzoga - Kevin Mponda
100. Wimbo Wa Gaidi - Hussein Issa Tuwa
101. Ushindi Maishani - Andrew I. Lyimo (unpublished)
102. The Language of Tears - Jeffrey A. Kottler
103. Patashika - Fadhy Mtanga (unpublished)
104. The Spy - Paulo Coelho
105. Witness To A Trial - John Grisham
106. Dira ya Moyo - Laura Pettie
107. When In Doubt, Add Butter - Beth Harbison
Napenda kutumia fursa hii kuwashukuru kwa dhati, nyote mliochangia haya kwa kunipa/kuniazimisha vitabu vyenu.
Vile vile, niwatakieni mwisho mwema wa mwaka 2017 na mwanzo wenye kujaa matumaini wa mwaka 2018 na mingi mingine ijayo.
Mbeya, Tanzania.
Alhamisi, Disemba 28, 2017.