$ 0 0 Asubuhi ya leo hapa ufukwe wa Matema, Kyela mkoani Mbeya.. Nikiitazama nuru ya jua ikichomoza kwa mbali, mashariki, nyuma ya milima ya Livingstone.