Utata wa Maamuzi: Ndiyo Maisha ya Kila Kombe la Dunia
Kocha wa Misri, Hossam Hassan, akibishana na mwamuzi François Letexier wa Ufaransa wakati wa mechi ya hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia kati ya Argentina na Misri, iliyochezwa jijini Atlanta,...
View ArticleHADITHI FUPI: Kiwewe
𝗔𝗿𝘂𝘀𝗵𝗮, 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮𝗝𝗮𝗻𝘂𝗮𝗿𝗶 𝟮𝟬𝟮𝟲“MUNGU WANGU!”Ndicho pekee unachoweza kusema. Unaitazama simu yako kwa mara nyingine. Huna la kufanya. Utafanya nini sasa?Kwa haiba yako, unaheshimika sana kanisani kwenu....
View ArticleSafari ya Victoria Falls
MAHALI FULANI BARANI Afrika, takribani kilometa 1,600 kutoka katikati ya jiji la Mbeya, nchi ya Zambia inakutana na Zimbabwe. Makutano hayo yanaporomosha maji ya mto Zambezi kwenye gema pana, na maji...
View ArticleKwa herini Mbeya City huku ikituuma
Mbeya City katika moja ya nyakati zake bora. (Picha kwa hisani ya IPP Media).“TUMEKUJA kuwazamisha Mbeya City.” Ujumbe huu uliingia kwenye rununu yangu jana jioni. Rafiki yangu wa siku nyingi...
View ArticleMaeneo 10 ya kuyatembelea Nyanda za Juu Kusini Tanzania
IMEZOELEKA kwa watu wengi kutembelea maeneo kadha wa kadha ndani na nje ya Tanzania ifikapo mwisho wa mwaka. Mwezi Disemba ni mwezi wa likizo na sikukuu. Ukiondoa shule ambazo ni kawaida kwenda likizo...
View ArticleHADITHI FUPI: Shosti
Songea, 2001“Alikuwa rafiki yangu mkubwa,” Nime alisema. “Nashindwa hata kuamini kilichotokea.”“Kama ulikuwa hujui,” Lade alisema. Akaendelea, “siku zote kikulacho ki nguoni mwako.”“Ila binadamu!”...
View ArticleTaarifa ya EFF juu ya kifo cha Malkia Elizabeth II
MWAKA 2018, mpigania uhuru mwanamke maarufu Winnie Madikizela Mandela alifariki. Miongoni mwa mambo yaliyoteka nadhari ya wafuatiliaji wa mazishi yake, ilikuwa taabini iliyotolewa na kiongozi wa chama...
View ArticleNini kinatokea baada ya kifo cha Malkia Elizabeth II?
Mchana wa siku ya leo, Septemba 8, 2022 mtawala wa dola ya Uingereza, Malkia Elizabeth wa Pili amefariki dunia akiwa kwenye kasri lake la Balmoral huko Uskochi.Mtawala huyo wa pili kutawala kwa muda...
View ArticleHADITHI FUPI: Mkahawani
Iringa, 2018 “NAOMBA NIKUSAIDIE KUOKOTA.”Diba alishituka sauti ikimwongolesha nyuma yake. Si kushituka tu, vilevile alijisikia aibu kwa kuangusha kopo dogo la vimbaka.Kabla hajajibu, alimsikia mtu...
View ArticleHADITHI FUPI: Chenga
Sinza Mapambano, Dar es Salaam, 2013“SIJUI NIMEMKOSEA NINI Mungu?” Jefa anaongea mikono ikiwa kichwani. Kheri mikono pekee ndiyo ingeshughulishwa. Macho je? Yametota kwa machozi. Wanasema...
View ArticleMiaka 15 ya kublogu
TAREHE kama ya leo, miaka 15 iliyopita, niliketi kwenye internet cafe moja pale Buguruni Rozana jijini Dar es Salaam. Tofauti na siku zingine nilizoketi internet cafe kwa minajili ya kuperuzi Dar...
View ArticleNimerudi
NIMERUDI rasmi kublog.Ndiyo.Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu kutokana na mambo yaliyokuwa nje ya uwezo wangu, nafurahi kusema, nimerejea. Ninazo simulizi nyingi. Nitawasimulia panapo uzima.Jambo la...
View ArticleKulipuliwa kwa daraja la Mto Chambeshi
TAREHE 11 Oktoba 1979, siku ya Alhamisi, ilikuwa siku ya kawaida kabisa kwenye maisha ya Reli ya Uhuru, TAZARA. Treni ya abiria ikiwa na abiria zaidi ya 700 ilikuwa ikikaribia kuwasili kwenye stesheni...
View ArticleKitabu cha My Autobiography cha Sir Alex Ferguson
NIMEMALIZA kusoma kitabu cha My Autobiography usiku huu. Kina kurasa 429.Ni kitabu kilichoandikwa na Sir Alex Ferguson, aliyepata kuwa Meneja wa Manchester United kuanzia mwaka 1986 hadi 2013. Ni...
View ArticleNimenunua vitabu hapa Kampala
JIONI hii nimefanikiwa kupita Nakumatt hapa Kampala, na kujipatia dozi hizi mbili. Ratiba yangu ya wiki hii imebana sana. Hata hivyo, kwa kutenga saa moja ama mawili kabla ya kulala, kila siku,...
View ArticleKuhusu One Indian Girl ya Chetan Bhagat
USIKU huu nimeanza kumsoma Robin Sharma kupitia kitabu chake cha The Greatness Guide. Hiki ni kitabu cha pili kukisoma kutoka kwa Robin. Mwaka 2013 nilibahatika kumsoma kupitia The Monk Who Sold His...
View ArticleKitabu cha One Indian Girl
Usiku huu nimeanza kusoma kitabu cha 9 kwa mwezi huu wa Januari. Nilijiwekea malengo kuwa walau nisome vitabu 8 hadi mwisho wa mwezi.ONE INDIAN GIRL kilichoandikwa na Chetan Bhagat ni simulizi juu ya...
View ArticleKwa heri Chitwan
LEO, dakika chache kabla ya kuondoka Chitwan, Magharibi ya mji mkuu Kathmandu, nilipita tena dukani. Sikukipata tena kitabu cha Mpiga Filimbi wa Hamelin.Walau, nimempata Pinochio na Snow White,...
View ArticleMpiga filimbi wa Hamelini
LEO nimepita dukani hapa Chitwan, Nepal na kukutana na hiki kitabu. Kimenipa furaha sana. Nimelazimika kukinunua. Si kwa ajili yangu. Ni kitabu cha watoto. Lakini, nimekinunua kwa ajili ya mama yangu...
View ArticleKujali kuhusu binadamu
KUNA vitu vingi nimejifunza kwenye miji mingi na vijiji vingi nilikotia miguu yangu hapa Nepal. Lakini leo tembo wamenifundisha somo kubwa sana. KUJALI KUHUSU BINADAMU. Tukiwa njiani, kuna mwenzetu...
View Article